


Mtaalam wa mifumo ya kompyuta kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Omar Amir akitoa maelezo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Rumuli mkoani Kagera namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali mahali popote walipo, mafunzo hayo yaliandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo hivi karibuni imetoa msaada wa kompyuta na pia itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ). Mafunzo hayo yalifanyika mkoani Kagera mwishoni mwa wiki.

Wanafunzi wa shule ya sekondari Rumuli mkoani Kagera wakipata mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali mahali popote walipo kutoka kwa wataalam wa mifumo ya kompyuta wa Vodacom Tanzania PLC, mafunzo hayo yaliandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo hivi karibuni imetoa msaada wa kompyuta na pia itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).

Wanafunzi wa shule ya sekondari Omumwani mkoani Kagera wakipata mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali mahali popote walipo kutoka kwa wataalam wa mifumo ya kompyuta wa Vodacom Tanzania PLC, mafunzo hayo yaliandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo hivi karibuni imetoa msaada wa kompyuta na pia itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...