Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Latini Amerika na Caribbean Mhe Vicky Ford akisalimiana na wafanyakazi wa kiwanda cha SBL kilichopo Moshi katika ziara yake mkoani Kilimanjaro ambapo alijionea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na SBL ambayo inamilikiwa na kampuni mama ya Uingereza, Diageo.
Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Latini Amerika na Caribbean Mhe Vicky Ford (wa pili kulia) akionyeshwa maeneo mbalimbali kiwandani hapo na Felix Alala, Meneja Miradi wa SBL (wa kwanza kulia).
Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Latini Amerika na Caribbean Mhe Vicky Ford akionyeshwa uzalishaji wa pombe kali unavyofanyika kinachosimamiwa na wafanyakazi wanawake pekee.
Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Latini Amerika na Caribbean Mhe Vicky Ford kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wanawake wa kiwanda cha pombe kali SBL, Moshi.
Home
HABARI
Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Latini Amerika atembelea kiwanda cha sbl mjini moshi,kilimanjaro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...