Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Kamati Kuu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi Kitaifa 2022, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma leo Aprili 30, 2022, kukagua maandalizi ya uwanja huo utakaotumika kufanyia sherehe hizo kesho Mei 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Kamati Kuu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi Kitaifa 2022, wakati alipokagua maandalizi ya Sherehe hizo, zitakazofanyika kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Aprili 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...