
*Chagua namba zako na ushinde na Keno!
Michezo
ya Dice (kete) imekuwepo kwa muda mrefu. Kihistoria, mchezo huu ulianzia China.
Waandaaji wa kisasa, Expanse Studios wametengeneza Titan Dice kukumbusha uzuri wa mchezo huu. Kasino
ya Mtandaoni ya Meridianbet
imekuletea mchezo huu katika mikono wako sasa! Pata odds za kijanja ukibashiri
na Meridianbet.
Cha kufanya tafuta "Titan
Dice" Kwenye kasino ya
mtandaoni ya Meridianbet, kisha ingia na anza kujikusanyia mkwanja. Weka dau lako
kisha chagua namba na jumla ya odds
unazohisi mzunguko wa roullete utamalizikia.
Baada ya hapo bonyeza kitufe cha "Roll" kuanzisha mchezo wako kwa kukurusha kete zako.
Endapo kete mbili utazorusha zitaleta jumla uliyochagua basi, Meridianbet inakuhakikishia ushindi
mkubwa kabisa.
Chagua muunganiko wa Kete mbili na namba unayohisi kete zitatoa jumla yake na ufurahie ushindi mkubwa! Usisubiri kuhadithiwa, zingatia vigezo na masharti na ufurahie.
Jiunge na Meridianbet kwa uhakika wa odds kubwa, bonasi za
kijanja na promosheni kabambe kabisa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...