KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Sofia Mjema .baada ya kuwasili ofisi za chama hicho mkoa leo Mei 27,2022.
Ndugu Chongo ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Shinyanga ambapo pamoja na mambo mengine ni kuimarisha na kuhimiza uhai wa chama kuanzia ngazi ya mashina.
Chongolo ambaye ameambatana na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ngemela Lubinga atazungumza na wanachama wa Chama hicho pamoja na kukagua miradi ya maendeleo kama ilivyoahidiwa kwenye Ilani ya uchgauzi Mkuu mwaka 2020-2025.
Kwa mujibu wa ratiba ya Katibu Mkuu huyo baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Shinyanga atakwenda mkoani Simiyu na atakuwa kwenye ziara kwa siku hizo tisa.
Home
Unlabelled
KATIBU MKUU CCM AANZA ZIARA SHINYANGA , KUPOKEA TAARIFA UTEKELEZAJI WA ILANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...