Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo
akiwasalimia wakazi wa kata ya Old Shinyanga waliojitokeza kumlaki.
Katibu Mkuu anatarajiwa kumaliza ziara ya mkoa Shinyanga
leo tarehe 30 Mei, 2022 katika wilaya ya Kishapu ambapo atakagua na kuhimiza
Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 – 2025 pamoja uhai wa Chama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...