Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dkt, Mahmoud Abdulwahab akizungumza jambo katika Mafunzo ya Sheria za Utumishi wa Umma yaliyotolewa kwa Wakuu wa Idara na Vitengo wa Taasisi ya Karume, huko Ukumbi wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Mjini Zanzibar.
Mkuu wa Idara ya Masomo ya Jumla kutoka Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dr. Khamiss K. Said akiuliza maswali katika Mafunzo yanayohusu Sheria za Utumishi wa Umma, katika Ukumbi wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Mjini Zanzibar.
Kaimu katika Idara ya Uhandisi Umeme kutoka Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Asha R. Nassor akiuliza maswali katika Mafunzo yanayohusu Sheria za Utumishi wa Umma, katika Ukumbi waDkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Mjini Zanzibar. PICHA NA MARYAM KIDIKO – KIST.


Mkufunzi Omar Ali Omar akitoa Mafunzo ya Sheria za Utumishi wa Umma kwa Wakuu wa Idara na Vitengo wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) , yaliyofanyika Ukumbi wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Mjini Zanzibar.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...