

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Mei 30,2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wa Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Semina hiyo kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Mei 30,2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...