Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wakandarasi
wanaojenga meli ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu wakati alipokagua maendeleo ya
ujenzi wa meli hiyo kwenye bandari ya Mwanza South jijini Mwanza, Mei
7, 2022. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamgana, Amina
Makilagi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu kwenye Bandari ya Mwanza South jijini Mwanza, Mei 7, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa meli ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake kwenye bandari ya Mwanza South jijini Mwanza, Mei 7, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...