

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Misa Takatifu Dominika ya ya Nne ya Pasaka katika Kanisa Kuu katoliki la Bikira Maria Mshindaji Jimbo la Kigoma leo tarehe 08 Mei 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...