![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhie4_vbGTPC-a05pNMylqtuOsaxCCyTm1n_vASxKQOoq9u5Qbkv5AB2gMLulVQFk2i_fmWMSG_diCKY1XLCz2GesxG__thOv6q0vfv7M-l9HHzCxLqqAmIiaoccCRXozyEf5bfAOep2tqhH4IjGhdY9UtKqe_0BN3m4cq9t41gjDM5KidqBA/w640-h426/DSC_6136-2048x1362.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/DSC_5772-scaled.jpg)
WAFANYAKAZI wa Taasisi za Serikali na Masharika ya Umma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yalioadhimisha leo Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/DSC_5730-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/DSC_5380-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/DSC_5875-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/DSC_5363-scaled.jpg)
WAFANYAKAZI wa Bodaboda wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani viwanja vya Maisara Suleiman wakipita katika jukwaa la mgeni rasmin Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/DSC_5141-scaled.jpg)
MAANDAMANO ya Wafanyakazi kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...