Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Festo Dugange (katikati) na Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Geofrey Kasekenya (kulia), bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji. Dkt. Eliezer Feleshi, bungeni jijini Dodoma, Mei 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...