


Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa akiwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji pamoja na Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato wakiwa katika Kikao cha majadiliano ya Wadau mbalimbali katika Sekta ya Uwekezaji wa Mafuta katika Jiji la Kampala nchini Uganda tarehe 11 Mei, 2022.

Wadau kutoka Sekta mbalimbali nchini Tanzania wakiwa katika Kikao cha majadiliano ya Wadau kutoka Sekta ya Uwekezaji wa Mafuta katika Jiji la Kampala nchini Uganda tarehe 11 Mei, 2022.

Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato akizungumza katika Kikao cha majadiliano ya Wadau mbalimbali kwenye Sekta ya Uwekezaji wa Mafuta Jijini Kampala nchini Uganda tarehe 11 Mei, 2022. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...