Mrajis Msaidizi wa Vyama vya ushirika Mkoa wa Shinyanga, Hilda Boniphace amekutana Viongozi wa vyama 12 vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama kwa ajili ya kujadili uendeshaji wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini na kusikiliza changamoto walizonazo wana ushirika wa wachimba madini.

Kikao hicho kimefanyika leo Ijumaa Mei 27,2022 Mjini Kahama ambapo wamejadili namna gani vyama vya Ushirika vya wachimbaji madini vinaweza kukua kutokana na fursa zilizopo na kuhakikisha wana ushirika wake wanafaidika na ushirika wao pamoja na kujaribu kutatua changamoto wanazokabiliana nazo kwa kushirikiana na mamlaka husika.
Mrajis Msaidizi wa Vyama vya ushirika Mkoa wa Shinyanga, Hilda Boniphace  akizungumza na Viongozi wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama leo Ijumaa Mei 27,2022 Mjini Kahama. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mrajis Msaidizi wa Vyama vya ushirika Mkoa wa Shinyanga, Hilda Boniphace  akizungumza na Viongozi wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama leo Ijumaa Mei 27,2022 Mjini Kahama 

Viongozi wa vyama vya ushirika vya wachimbaji madini wilaya ya Kahama wakiwa kwenye kikao na Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga Bi. Hilda Boniphace

Picha na Kadama Malunde  - Malunde 1 blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...