Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa ldara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kuhusu kazi mbalimbali wanazofanya kuitangaza Serikali  katika mabanda ya Maonesho kwenye Maadhimisho ya  Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Jijini Arusha tarehe 03 Mei, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkaguzi wa Uhamiaji Beatrice Gidion Ngwijo kuhusiana na kazi mbalimbali zinazofanywa na Idara hiyo ikiwemo kuwasaidia Waandishi wa Habari kuingia na kutoka nchini kwa urahisi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wadau mbalimbali wa Sekta ya Habari katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliofanyika Jijini Arusha tarehe 03 Mei, 2022.



 Wadau mbalimbali wa Sekta ya Habari, Mabalozi pamoja na waandishi wa Habari wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akitoa hotuba yake katika Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika Jijini Arusha tarehe 03 Mei, 2022



 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...