Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni
Haji Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji
aliyefika Ikulu Tunguu tarehe 05 Mei, 2022 kwa ajili ya kujitambulisha
kwa Mhe. Rais mara baada ya kuchaguliwa katika wadhifa huo. 


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...