

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Mhe. Vincent Biruta Ikulu Jijini Dar es Salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Vincent Biruta mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Vincent Biruta na Wenyeji wao kutoka Tanzania mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...