
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Shirika la Peleks Prof Dr.Yousef Al Alawi akizungumza wakati wa mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-5-2022, baada ya kumaliza utoaji wa huduma za upasuaji kwa Wananchi katika Hospitali ya Chakechake na Wete Pemba.





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Madaktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Shirika la Peleks, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, baada kumaliza utoaji wa huduma ya upasuaji kwa Wananchi wa Pemba uliofanyika katika Hospitali ya Chakechake na Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...