Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Uongozi akizungumza na Wajumbe wa kamati ya uongozi (hawapo kwenye picha) wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kujadili Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge leo Mei 17, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kujadili Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge leo Mei 17, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akishiriki kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kujadili Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge leo Mei 17, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kujadili Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge leo Mei 17, 2022 Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe. Stanslaus Nyongo, Mbunge wa Kondoa Mjini, Mhe. Ally Makoa na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...