
Mkuu wa mauzo wa Vodacom Tanzania PLC kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi msaidizi wa tiba asili na tiba mbadala kutoka wizara ya Afya, Dkt. Paulo Mhame, wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza ugonjwa wa Fistula nchini, ambapo sambamba kulizinduliwa muongozo wa kitaifa kuhusu Fistula, Vodacom Tanzania Foundation walidhamini uzinduzi huo, kulia ni mkurugenzi wa hospitali ya Bugando, Fabian Masaga maadhimisho hayo yamefanyika jijini Mwanza.

Mkuu wa mauzo wa Vodacom Tanzania PLC kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza ugonjwa wa Fistula nchini, ambapo sambamba kulizinduliwa muongozo wa kitaifa kuhusu Fistula, Vodacom Tanzania Foundation walidhamini uzinduzi huo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...