Wafanyakazi kutoka Wizara na taasisi mbalimbali wakionesha mabango, wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi kwa mwaka 2022.

(Picha na Peter Haule, WFM, Dodoma)

Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika maandamano kuelekea viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi kwa mwaka 2022.

Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakifurahia jambo wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi iliyofanyika jijini Dodoma.


Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakipita mbele ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi iliyofanyika jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...