Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,
Abubakar Bin Zubeir, wakati aliposhiriki sala ya Idd El Fitri,
iliyosaliwa kitaifa katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa
Morocco, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mei 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki sala ya Idd El Fitri, iliyosaliwa
kitaifa katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko
Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mei 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza
mawaidha yaliyotolewa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin
Zubeir, baada ya sala ya Idd El Fitri, iliyosaliwa kitaifa katika
Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko Kinondoni, jijini
Dar es Salaam. Mei 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...