Njombe
Wananchi wilayani Ludewa mkoani Njombe, wametakiwa kujenga mazoea ya kutunza fedha katika taasisi za kifedha ili kuweza kujipatia faida na kuziweka katika hali ya usalama zaidi.
Wito huo umetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Gilbert Ngailo alipokuwa katika uzinduzi wa huduma mpya ya kibenki katika benki ya CRDB ijulikanayo kama Mzigo Flex uliofanyika katika benki hiyo tawi la Ludewa.
Kwa mujibu wa Meneja wa tawi hilo Imani Mwaisango amesema huduma hiyo imezinduliwa katika matawi yote ya CRDB hapa nchini ambayo itamuwezesha mteja kupata faida ya 9% kwa mwaka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...