Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvumi, Livingstone
Lusinde pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mvumi, wilayani
Chamwino, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2022.
Wanafunzi hao walikwenda Bungeni kwa ziara ya mafunzo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...