Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 24 Juni 2022 akisalimiana na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mheshimiwa Patricia Scotland wakati alipowasili katika Ukumbi  wa Mikutano wa Kimataifa wa Kigali kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya za Madola (CHOGMU 2022) unaoendelea Kigali nchini Rwanda. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 24 Juni 2022 akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa  Wakuu wa Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya za Madola (CHOGMU 2022) unaoendelea Kigali nchini Rwanda.








 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...