Mkurugenzi wa IT wa Vodacom Tanzania Plc, Athuman Mlinga (katikati), akizungumza kwenye mdahalo na kuwasilisha mada kuhusu Utawala na Uhakika wa TEHAMA. Vodacom Tanzania imeshiriki katika mkutano wa mwaka wa ISACA Tanzania jijini Arusha, ambapo wataalam wa masuala ya usalama wa mtandao na teknolojia walikutana kujadili namna ambavyo kila mmoja anaweza kushiriki katika kuimarisha usalama wa mifumo yake. Wengine kushoto ni Mkaguzi mkuu wa hesabu za ndani TASAC, Ahadi Chacha na Mshauri wa IT KPMG, James Chotamawe





Mkuu wa Idara ya Usalama wa Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc, Joel Kazoba (Pichani) akizungumza kwenye mkutano wa mwaka wa ISACA Tanzania uliowakutanisha jumuiya ya usalama wa mtandao na teknolojia na kujadili umuhimu wa ulinzi wa data, Kazoba alisisitiza kuwa Vodacom inaendeleza teknolojia salama inayowezesha wateja pamoja na kuwaunganisha kwenye maisha bora ya baadaye.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...