Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Ikulu (Kazi Maalum), George Mkuchika, bungeni jijini Dodoma, Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwenye ukumbi wa Spika, Bungeni jijini Dodoma Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...