Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza wakati alipotembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al
Hanan kilichopo Muscat nchini Oman tarehe 13 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Kituo cha Saratani cha Dar
Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman wakati alipotembelea Kituo hicho tarehe
13 Juni, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo wakati alipotembelea Kituo cha Saratani
cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman tarehe 13 Juni, 2022.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...