Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati), akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani Kagera leo Juni 10, 2022. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif (wa tatu kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya hiyo, Sheikh Badar bin Sood (watatu kushoto), Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally (wa pili kushoto), Naibu Balozi wa Oman nchini, Dkt. Salim Al Harbin (kushoto), Mwakilishi wa Mufti wa Oman, Sheikh Dr Wail Al Harasi, pamoja na Mjumbe wa Jumuiya ya Kiislam ya Isitqaama, Sheikh Nassor Seif. Picha na Othman Michuzi, Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati), akifungua kitambaa kwenye jiwe la msingi wakati wa ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani Kagera leo Juni 10, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo ya Msikiti huo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabua Msikiti huo, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani Kagera leo Juni 10, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani Kagera leo Juni 10, 2022.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally, akizungumza katika ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani Kagera leo Juni 10, 2022.
Naibu Balozi wa Oman nchini, Dkt. Salim Al Harbin, akizungumza katika ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani Kagera leo Juni 10, 2022.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif, akizungumza katika ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani Kagera leo Juni 10, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...