Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge kutoka kikombo Jijini Dodoma nje ya Ukumbi wa Bunge.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge kutoka kikombo Jijini Dodoma nje ya Ukumbi wa Bunge
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiagana na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge kutoka kikombo Jijini Dodoma nje ya Ukumbi wa Bunge leo Juni 24, 2022. Baada ya kupiga nao picha ya pamoja
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...