Mwasilishaji Jaribu Mwinyi akiwasilisha mada ya utengenezaji wa dawa ya mimea iitwayo muokozi kwa wajasiriamali wa kilimo cha mbogamboga wakati wa mafunzo maalum kwa wajasiriamali hao yalioandaliwa na Mradi wa Viungo unaofadhiliwa na Jumuiya za  Nchi za Ulaya kupitia program ya (Agriconnect),huko Ofisini kwao Mwanakwerekwe Zanzibar. PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...