WANAFUNZI nane na watu wazima wawili wamefarikidi dunia baada ya gari lenye namba za usajili T 207 CTS Mali ya shule ya Msingi King David baada ya gari kutumbukia shimoni huko Mtwara Mikindani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani atpoa pole kwa wafiwa, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, ndugu jamaa na Marafiki wa Marehemu hao, Mungu awarehemu Marehemu na Kuwaponya haraka Majeruhi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...