
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa akifungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli Melia Zanzibar, Julai 30, 2022. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah.

Makamisaa wa Sensa, Anne Makinda (kulia) na Balozi Mohammed Haji Hamza (wa pili kushoto) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Melia Zanzibar Julai 30, 2022. Kushoto ni Mtwakwimu Mkuu wa Serikali , Albina Chuwa na wapili kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, Salum Kassim Ali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...