Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Phillip Mpango (kulia) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza wa sekta ya mawasiliano Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma za Ziada wa Vodacom Tanzania Plc Nguvu Kamando, baada ya kampuni hiyo kuibuka kidedea katika maonesho ya 46 ya Biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam yaliyomalizika.





Katika kuhitimisha maonyesho ya biashara ya 46, Vodacom Tanzania imeibuka tena kuwa mshindi wa jumla kwenye mawasiliano. Hii ni kutokana na muendelezo wa uwekezaji kwenye mitambo, huduma kabambe za kibunifu na rasilimali watu.

 Huduma mbalimbali kwenye nyanja za afya, elimu, kilimo, huduma za kifedha, bima, burudani na huduma kedekede za kidijitali. Tunawashukuru Watanzania kwa kuendelea kutuamini. 

Pamoja tunaweza!

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...