Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule aakizungumza kuhusu maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 23, 2022 yamekamilika kwa asilimia 98, ambapo pia amezindua namba maalumu ya ya bure ya kuwasiliana na wananchi kwa lengo la kutatua kero mbalimbali wakati wa zoezi la sensa. Amefanya uzinduzi huo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Agosti 21, 2022.
PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203 Attachments area
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...