Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mulembwa Munaku akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Dunia walipofika katika Ofisi za Wizara hiyo Agosti 2, 2022 na kufanya mazungumzo kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali.

Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Honest Njau (kushoto) akizungumza na Bw. Xavier Daudi, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (katikati) na Kiongozi wa Ujumbe wa Benki ya Dunia Dkt. Tim Kelly wakati ujumbe wa Benki ya Dunia wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali walipotembelea na kufanya mazungumzo na watendaji wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.



Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ziara ya Ujumbe wa Benki ya Dunia katika ofisi za Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mamlaka ya Serikali Mtandao zilizopo jijini Dodoma kwa lengo la kutembelea na kufanya mazungumzo kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...