Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza , Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.
Picha mbalimbali zikionesha Makamu
Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana
akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania David Concar mara baada
ya kusaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II
wa
Uingereza , Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...