Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Nchi kwenye Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam tarehe 12 Septemba, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia
Bidhaa katika mabanda mbalimbali ya Maonesho kabla ya kuhutubia viongozi
mbalimbali wa Ndani na Nje ya Nchi kwenye Kongamano la Wanawake na
Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika
ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam tarehe 12
Septemba, 2022.
Baadhi
ya washiriki katika Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la
Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu
Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam tarehe 12 Septemba, 2022
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali mara baada ya
Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika
(AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC)
Dar es Salaam tarehe 12 Septemba, 2022
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...