Mkurugenzi Mkaazi wa Asasi ya REPSSI Tanzania,Edwick Gahanna Mapalala (aliyesimama) akitoa mada ya Msaada wa kisaikolojia na Jamii kwa mtoto, katika mwendelezo wa mafunzo ya siku saba ya kuwajengea uwezo wa afya ya akili kwa Askari Polisi yaliyoandaliwa na Taasisi za SOS Children's Villages na REPSSI Tanzania jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa makini mada katika mafunzo ya siku saba ya kuwajengea uwezo wa afya ya akili kwa Askari Polisi yaliyoandaliwa na Taasisi za SOS Children's Villages na REPSSI Tanzania jijini Dar es Salaam.

Mwezeshaji wa semina hiyo, Leokadia Mbawala aliyesimama akitoa mada ya afya ya akili katika mwendelezo wa mafunzo ya siku saba ya kuwajengea uwezo wa afya ya akili kwa Askari Polisi yaliyoandaliwa na Taasisi za SOS Children's Villages na REPSSI Tanzania jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...