Waziri Mkuu, Kassim Majaliiwa akizungumza na wakulima wa tumbaku wa Urambo, viongozi wa Vyama vya Vikuu vya Ushirika na viongozi wa AMCOS wilayani humo kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Urambo mkoa wa Tabora Septemba 9, 2022.
Baadhi ya wakulima wa tumbaku wa Urambo, viongozi wa Vyama vya Vikuu vya Ushirika na viongozi wa AMCOS wilayani humo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Urambo mkoa wa Tabora Septemba 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliiwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Urambo mkoa wa Tabora kuzungumza na wakulima wa tumbaku wa Urambo, viongozi wa Vyama Vikuu vya Ushirika na viongozi wa AMCOS wilayani humo, Septemba 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...