Mbunge wa Viti Maalum Tamima Haji Abass, akila kiapo Bungeni jijini Dodoma,



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Viti Maalum Tamima Haji Abass, baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma,



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana Bungeni jijini Dodoma,



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 13.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...