Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami katika kikao kilichofanyika leo tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini Morocco.

Mazungumzo hayo yalijikita kuimarisha Uhusiano wa Kibunge baina ya Mabunge ya nchi hizo pamoja na kuimarisha Ushirikiano wa kiuchumi ikiwemo kilimo.

Mhe. Spika yupo nchini Morocco kwa zaiara ya kikazi ya siku 5.



Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (kushoto) akimpa zawadi Spika wa Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami alipomtembelea leo tarehe 6 Septemba, 2022 Ofisini kwake Jijini Rabat Nchini Morocco.



Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongozana na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini Morocco.



Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiagana na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Ufalme wa Morocco, Mhe. Rachid Talbi Alami baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 6 Septemba, 2022 katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Rabat Nchini Morocco.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...