Mkuu wa Idara ya Biashara NMB, Alex Mgeni akizungumza na chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Bw. Martin Massawe akielezea huduma za bima mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Bima wa NMB, Bw. Adam Nsenga akiwasilisha mada kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam, katika mkutano na benki hiyo jana kwenye Hoteli ya Johari Rotana.
Baadhi ya wafanyabiashara kutoka Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) wakiuliza maswali kwa maofisa wa Benki ya NMB mara baada ya mkutano na benki hiyo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Meneja Mwandamizi Amana Idara ya Biashara wa NMB, Lilian Malekia akizungumza na chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Huduma za Kibenki Kidijitali - NMB, Bi. Jacqueline Ntinabo akiwasilisha mada kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...