Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa Cheti kama ishara ya kutunukiwa Tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) na Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Ibrahim Michael Mhona kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akipewa Tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Kunduchi Jijini Dar es Salaam



Matukio mbalimbali katika maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) yaliyofanyika Chuoni hapo Kunduchi Jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...