Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire (kushoto waliokaa) akisaini Mkataba wa Utendaji na Mkuu wa Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zacharia Mganilwa, katika Ofisi za Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, jijini Dodoma.



Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire (kushoto waliokaa) akisaini Mkataba wa Utendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt Agness Kijazi katika Ofisi za Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, jijini Dodoma.



Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire (kushoto waliokaa) akisaini Mkataba wa Utendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Mkeyenge katika Ofisi za Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, jijini Dodoma.



Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt Agness Kijazi mara baada ya Katibu Mkuu huyo kusaini Mkataba wa Utendaji na Wakuu wa Taasisi za sekta ya Uchukuzi, katika Ofisi za Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, jijini Dodoma.



Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) mara baada ya Katibu Mkuu huyo kusaini Mkataba wa Utendaji na Wakuu wa Taasisi za sekta ya Uchukuzi, katika Ofisi za Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, jijini Dodoma.



PICHA NA WUU



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...