Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan
(watatu kushoto) kwa pamoja na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohammed Musa (wapili kushoto),
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,
Abdulmajid Nsekela wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Agosti 02, 2022. Wengine pichani kutoka kulia ni
Waziri wa Utumishi na Utawala bora Zanzibar, Haroun Ali Suleiman, Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Abdalla
Juma Sadala pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Rashid Hadid
Rashid.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan
kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,
Abdulmajid Nsekela wakifungua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Agosti 02, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohammed Musa (kulia),
wakati wa uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Agosti 02, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan
akifurahia burudani kutoka kwa wanafunzi wa Skuli ya maandalizi
Kizimkazi wakati wa uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Agosti 02, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan akipata maelezo ya mradi wa maabara kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa,
wakati wa uzinduzi rasmi wa Maabara ya
Sayansi katika Skuli ya Sekondari ya
Kizimkazi yenye thamani ya Sh. Milioni 50 iliyojengwa kwa msaada wa
Benki ya CRDB leo Agosti 02, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...