Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi yenye mfano wa jengo la Bunge, Mbunge kutoka Bunge la Zimbabwe ambae pia ni Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Afya na Huduma kwa Watoto, Kanali Mstaafu Dkt. Joshua Murire pale ugeni kutoka Bunge hilo ulipomtembelea leo tarehe 21 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wabunge kutoka Bunge la
Zimbabwe ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Afya na Huduma kwa Watoto
kutoka Bunge hilo wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kanali
Mstaafu Dkt. Joshua Murire (kulia) katika kikao kilichofanyika leo
tarehe 21 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Spika
wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na
Wabunge kutoka Bunge la Zimbabwe ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Afya
na Huduma kwa Watoto wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo,
Kanali Mstaafu Dkt. Joshua Murire (kulia kwake) baada ya mazungumzo
yaliyofanyika leo tarehe 21 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...