Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Liberata Mulamula na Waziri wa Mtangamano wa Kikanda na Nchi zinazozungumza Kifaransa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Didier Mazenga Mukanzu wakisaini Taarifa ya Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC) uliofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe 12 hadi 14 Septemba 2022
Wajumbe wakifuatilia hotuba za viongozi wakati wa kufunga Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Liberata Mulamula na Waziri wa Mtangamano wa Kikanda na Nchi zinazozungumza Kifaransa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Didier Mazenga Mukanzu wakibadilishana Taarifa ya Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC) uliofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe 12 hadi 14 Septemba 2022
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akimpa zawadi ya picha za kuchora za twiga Waziri wa Mtangamano wa Kikanda na Nchi zinazozungumza Kifaransa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Didier Mazenga Mukanzu
Picha ya pamoja ya viongozi Wakuu walioshiriki Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC) uliofanyika jijini Dar Es Salaam

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akisoma hotuba ya kufunga Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC) uliofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe 12 hadi 14 Septemba 2022
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa meza kuu kwa ajili ya Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC). Wengine katika picha, kulia ni Katibu Mkuu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mtangamano wa Kikanda na Nchi zinazongumza Kifaransa wa DRC, Mhe. Zacharie Tshimbinda Bilolo.
Waziri wa Mtangamano wa Kikanda na Nchi zinazozungumza Kifaransa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Didier Mazenga Mukanzu akisoma hotuba ya kufunga Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC) uliofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe 12 hadi 14 Septemba 2022
Wajumbe wakifuatilia hotuba za viongozi wakati wa kufunga Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...