Na. Mwandishi Wetu,

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA),Kanda ya Ziwa Magharibi imekamata bidhaa za tumbaku aina ya siagara bandia zenye thamani ya Bilioni 1.8, zilizotokea nchi ya Congo.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka TMDA, zimebainisha kuwa: Baada ya kupokea taarifa ya kontena lenye bidhaa za tumbaku lililozuiliwa katika ofisi ya TRA Shinyanga, imebaini kuwa sigara hizo ni bandia na zimeingizwa nchini kutoka nchi jirani ya Kongo,ambapo kuna makasha 2200 yenye thamani ya TZS 1.8 Billioni na uzito tani 13.2." Ilisema taarifa hiyo.

Hatua zaidi zinaendelea mzigo umezuiliwa" Ilimalizia taarifa hiyo.





 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...