Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Njomba, Alex Ngailo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania ( MKURABITA) Dkt Sreaphia Mugembe (kushoto) wakifunua pazia ikiwa ni ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Masjala ambao umedhamini wa (MKURABITA) katika Kijiji cha Malembuli, Kata ya Mang'oto wilayani Makete Septemba 24, 2022. Kulia ni Mbunge wa Makete, Festo Sanga na Diwani wa Kata ya Mang'oto, Osmund Lucas.
Jengo lililowekewa jiwe la msingi.
Dkt Seraphia Mugembe akihutubia.
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Malembuli, Stella Sichela akihamasisha wananchi wakati wa hafla hiyo.
Juma Mtali Mhandisi wa MKURABITA anayesimamia ujenzi wa jengo hilo,
bunge wa Makete, Festo Sanga akitoa shukrani kwa MKURABITA kwa kufanikisha ujenzi wa jengo hilo.
Dkt Mugembe akiwa na mmoja wa wazee wa kijiji hicho akiondoka baada ya kuweka jiwe msingi katika jengo hilo ambapo ameahidi kutoa fedha za kumalizia ujenzi pamoja na samani za kiofisi.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, zikitolewa shukrani hizo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...